iCHURCH - February 01, 2018

Posted By: Pulitzer

iCHURCH - February 01, 2018
English | 24 pages | True PDF | 3.4 MB


Stori ya Mch Lucy Natasha, Almanusura Nabii Bushiri aoe mke asiye sahihi, Cece Winans, Hillsong wang'aa tuzo za GRAMMY 2018, Paul clement hataki kuitwa "SUPASTAA", Serikali yafungia Benki ya EFATHA na nyingine 4, Viashiria 10 vya Biashara yako kuelekea kufa, Askofu Kakobe asimulia alivyohojiwa na T.R.A, Wasabato waishinda serikali mahakamani, mazishi ya mama wa Askofu Gwajima katika picha.